De som köpt den här boken har ofta också köpt Sunrise on the Reaping av Suzanne Collins (inbunden).
Köp båda 2 för 566 krShaaban Robert was the leading east African writer of the colonial period who became known as The Father of Kiswahili Literature. Shaaban Robert alikuwa ndiye mwandishi maarufu zaidi wa Kiswahili, na wa Afrika Mashariki kwa jumla, wa kipindi cha ukoloni, kiasi cha kuitwa Baba wa Fasihi ya Kiswahili. Mugyabuso M Mulokozi is Professor Emeritus at the Institute of Kiswahili Studies, University of Dar es Salaam. Mugyabuso M. Mulokozi ni Profesa Mstaafu katika Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Bayana ya Mhariri CM Doke Utangulizi Shabaan Robert Utangulizi MM Mulokozi Introduction MM Mulokozi Maonyo ya kuandika insha a) Kusudi la kuandika insha b) Elimu ya kuandika insha c) Utunzi wa insha d) Ulinganifu wa insha e) Uzani wa ulinganifu f) Mifano mbalimbali ya insha i) Mfano wa Insha za Wasifu ii) Mfano wa Insha za masimulizi iii) Mfano wa Insha ya habari za mtu zilizoandikwa na yeye mwenyewe iv) Mfano wa Insha za Fikira v) Mfano wa Insha za Methali vi) Jinsi ya kutumia herufi kubwa vii) Yanayokulazimu kutenda viii) Yasiyokulazimu kutenda g) Insha 1. Mbwa 2. Kipupwe 3. Msimu 4. Kiangazi 5. Masika 6. Mito 7. Milima 8. Mafuriko 9. Kusafiri 10. Uvumi 11. Msichana 12. Mazao ya kazi matamu kuliko bahati za utajiri 13. Kama ningepata mamlaka 14. Haki na kazi za raia 15. Gazeti nipendalo 16. Mtihani 17. Methali na matumizi yake 18. Ubora wa kazi 19. Wastani wa maisha 20. Ukitaka kuruka agana na nyonga 21. Usipoziba ufa utajenga ukuta 22. Tamaa 23. Twaishi kwa matendo si kwa miaka 24. Mapenzi ya mama 25. Ubora wa madogo 26. Uthabiti wa mwili na uthabiti wa moyo 27. Maskani bora 28. Kuacha kufanya neno 29. Maisha ya mti 30. Wazo langu juu ya furaha 31. Marafiki 32. Ubora wa ibada 33. Shida ya chakula 34. Wakati wa uanafunzi 35. Nikitajirika 36. Mama mmoja mwema hushinda walimu wa ulimwengu 37. Kuandika kwa chapa 38. Arusi ya Kiswahili 39. Utii 40. Majirani 41. Vitabu 42. Kusudi langu katika maisha 43. Ungestahabu lipi: Utajiri au umashuhuri? 44. Utu wema 45. Mwungwana 46. Uzalendo 47. Nchi ambayo ningependa sana kuzuru 48. Mazoezi ya mwili 49. Kuhurumia wanyama 50. Tahadhari kabla ya athari 51. Yote ingaayo usiseme dhahabu 52. Wenzi wema 53. Amani 54. Kazi madaraka ya gazeti 55. Lugha ya watu wote Afrika Mashariki 56. Umaskini 57. Mauti 58. Sifa 59. Uzuri Fahirisi Maana ya maneno mengine yaliyotumiwa kitabuni